Huu Ndio Utajiri Mkubwa Utakaoupata, Kama Utaamua Mwenyewe Kufanya Biashara Hii..:;

         MAKALA HII IMEANDIKWA NA MESHACK MAGANGA WA IRINGA TANZANIA. Kwa muda mrefu nimekuwa nikitoa hamasa kwa vijana wenzangu wa kike na kiume na watu wa kada mbalimbali, wito wangu umekuwa nikuwataka vijana wenzangu kauanza utamaduni wa kuwekeza kwa muda mrefu na kujifunza ujasiriamali. Ninaandika makala hii kutoa ushuhuda wa niliyoyafanya kwa … Continue reading Huu Ndio Utajiri Mkubwa Utakaoupata, Kama Utaamua Mwenyewe Kufanya Biashara Hii..:;

HESLB Yavuka Lengo, yakusanya Kiasi cha Shilingi Bilioni 116.:;

         Zoezi la utafutaji, ufuatiliaji na ukaguzi wa wadaiwa sugu na ambao wamenufaika na mikopo ya elimu ya juu mahala pa kazi iliyoendeshwa na Bodi ya Mikopo ya Mikopo ya Elimu ya Juu katika kipindi cha mwaka mmoja, limefanikiwa kwa asilimia 46 na kupelekea makusanyo ya mikopo hiyo kuvuka lengo lililokusudiwa. Akiongea … Continue reading HESLB Yavuka Lengo, yakusanya Kiasi cha Shilingi Bilioni 116.:;

Mayweather na McGregor nusura wazichape kavukavu .:;

        Rais wa UFC, Dana White (katikati) akijaribu kuwatenganisha Floyd Mayweather (kushoto) na Conor McGregor wasipigane 'kavu kavu' usiku wa jana ukumbi wa LA's Staples Center mjini Los Angeles, Marekani     MPIGANAJI Conor McGregor ametamba kummaliza katika raundi ya nne bingwa wa dunia wa ngumi za kulipwa ambaye hajawahi kupoteza pambano, Floyd … Continue reading Mayweather na McGregor nusura wazichape kavukavu .:;

Wachezaji wa Everton watua Dar es Salaam Tanzania tayari kukabili Gor Mahia.:;

      Wachezaji wa klabu ya Everton kutoka England wamewasili jijini Dar es Salaam nchini Tanzania kwa ziara yao ya kwanza kabisa Afrika Mashariki. Wachezaji hao na wakufunzi pamoja na maafisa wengine wa timu walifika uwanja wa ndege saa mbili asubuhi kutoka Liverpool. Ziara yao ni sehemu ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi … Continue reading Wachezaji wa Everton watua Dar es Salaam Tanzania tayari kukabili Gor Mahia.:;