Fahamu Nchi Ambazo Kipato cha Familia Hutumika Zaidi kwa ajili ya Chakula tu, Afrika Zipo Nne..:;

Tokeo la picha la chakula mezani                                                                               

Takwimu
zilizotolewa na idara ya Marekani ya Kilimo (USDA) zimeonyesha
kwamba nchi zilizoendelea zina asilimia ndogo ya matumizi ambayo
hutumika kwa ajili ya chakula kwenye familia ukilinganisha na nchi
ambazo zinazoendelea.
Takwimu
hizo zimeeleza kuwa katika nchi ambazo zinatumia zaidi kipato cha
familia kwa ajili ya chakula ni pamoja na Nigeria ambayo imetajwa
kutumia zaidi ya nusu ya kipato cha familia kwa ajili ya chakula ambapo
pia kuna nchi zaidi ya tisa ambazo zimetajwa kutumia zaidi ya 40% ya
kipato cha familia kwa ajili ya chakula.
Kwa
Afrika zipo nchi nne kwenye hiyo list ambapo ni Nigeria 56.4%, Kenya
46.7%, Cameroon 45.6%, na Algeria 42.5% lakini nje ya Afrika ni
Kazakhstan 43.0%, Philippines 41.9%, Pakistan 40.9%, Azerbaijan 40.1%.
Guatemala 40.6%.
Takwimu
hizo zimeeleza kuwa kuna nchi nane ambazo hutumia chini ya 10% pato la
familia kwa ajili ya chakula, nne zipo Ulaya ambazo n i pamoja na
Uingereza ambayo ni ya tatu ikiwa na 8.2% ikifuatiwa  na Uswisi
kwa 8.7%, Ireland 9.6% na Austria 9.9%.
Mataifa mengine ni Marekani ambayo inatumia 6.45%, Singapore ni ya pili ikiwa na 6.7%, Canada ni 9.1 wakati Austria 9.8%.  
COMMENT AND SHARE………………!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2jF9jEn

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s