Rais Donald Trump Afanya Ziara Yake ya Kwanza Kwakutumia “Air Force One”, Tazama Picha Hapa..;;

     

Wiki moja baada ya kuapishwa kuwa Rais
wa 45 wa Marekani, Donald Trump ameanza kuitumia ndege maalumu ya Rais
“Air Force One” ambapo aliipanda kwa mara ya kwanza January 26, 2017
wakati akienda kuzungumza na Maseneta wa chama cha Republican huko
Philadelphia.
Rais huyo ameikubali ndege hiyo na
kuisifia kwa kuwa ni ya kisasa kuzidi ndege yake binafsi ambapo
amenukuliwa akisema “Ni ndege nzuri, kubwa na ya kisasa  kuzidi ndege
yangu Boeing 757 japokuwa nayo ni nzuri lakini Air Force One ni zaidi”
Nimekuwekea hapa picha zikimuonesha Rais Trump akiwa kwenye ndege hiyo.                                                                                                                            
COMMENT AND SHARE……………..!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2kBvVtt

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s