Rayvany Asema Hajamtundika Mimba Faima Ila..:;

          

Msanii kutoka Wasafi Classic Baby (WCB),
Raymond ‘Rayvany’ amekuwa akitajwa kutoka kimapenzi na modo wao
anayefahamika kwa jina la Faima na taarifa zikavuja  kuwa ‘mtoto’ huyo
mzuri sasa ana ‘kibendi’ chake.

Ikadaiwa na chanzo kilicho karibu na
wawili hao kuwa, uhusiano wao umekuwa wa siri sana na wa muda mrefu
licha ya wakati mwingine kushindwa kujizuia kuanika hisia zao mtandaoni.

Kufuatia madai hayo, Gazeti la Ijumaa
lilimtafuta Rayvany ili kuweka wazi ishu ya kumpa mimba Faima ambapo
alifunguka: “Kwanza mimi sina uhusiano na Faima na sijampachika mimba
kama wanavyosema ila yeye ni mtu wangu wa karibu sana. Yale ninayofanya
kule mtandaoni, nafanya kama mshikaji wangu.”

Hata hivyo, licha ya yeye kukana kuwa na
uhusiano naye, Ijumaa lilimtafuta Faima kupitia simu yake kuzungumzia
madai ya kuwa mjamzito bila mafanikio lakini aliwahi kukiri kuwa Rayvany
ni baby wake na wala hawezi kuficha.    

COMMENT AND SHARE……………!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2kBgjpV

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s