Joh Makini: Sijawahi Kuwa na Tofauti na Fid-Q..;;

Tokeo la picha la joh makin                                  Rapa Joh Makini ambaye sasa anafanya vyema na ngoma yake ya ‘Waya’
amefunguka na kusema yeye hajawahi kuwa na tofauti yoyote ile na rapa
Fid Q ila anahisi mashabiki ndiyo wamekuwa na hisia hizo kutokana na
ushindani wa muziki.                     

Joh
Makini alisema hayo jana kwenye kipindi cha Fiday Night Live cha (EATV)
alipokuwa akizungumzia suala la Fid Q kumposti katika moja ya mtandao
wake wa kijamii, Joh Makini anasema amejisikia furaha kuona Fid Q ametoa
support kwenye kazi yake hiyo mpya kwani ni ishara ya kukubali na
kuelewa kile alichofanya.

“Mimi sijawahi kuwa na tofauti na Fid Q ila siku zote huwezi kuzuia
mashabiki kutengeneza picha zao kichwani kutokana labda na ushindani, au
kwa kuwa tupo kwenye game moja kwa hiyo wanaona kama tuna bifu. Lakini
katika maisha ya kawaida hatujawahi kuwa na tofauti kabisaa, mimi
nafikiri Fid Q amependa kitu nilichokifanya na ameonyesha kuki support
na mimi nimeipokea kwa moyo mmoja, nimeona ni kitu kizuri kuona mwezako
amefanya kitu kizuri na amekubali ni kitu kizuri” alisema Joh Makini

Mbali na hilo Joh Makini alisema kuwa aina ya muziki anaofanya yeye
ni kwa ajili ya watu wote, kuanzia Mbagala mpaka New York hivyo kwenye
muziki wake habagui hivyo muziki wake hauna mipaka wala si muziki wa
Watanzania pekee yake bali anafanya muziki kwa ajili ya watu wote.
              

COMMENT AND SHARE……………….!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2ke8kyf

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s