Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger Apigwa Marufuku ya Mechi Nne..:;

Wenger akiamrishwa na refa kutoka uwanjani       

Mkufunzi wa Arsenal amepigwa
marufuku ya mechi nne na faini ya paundi 25,000 baada ya kukiri mashtaka
ya FA kwa tabia yake mbaya katika mechi dhidi ya Burnley.

Wenger
mwenye umri wa miaka 67 alishtakiwa kwa kumtusi na kumsukuma msaidizi wa
refa Anthony Taylor baada ya kutakiwa kutoka uwanjani.
Marufuku yake inaaza mara moja kwa hivyo atakosa mechi ya FA dhidi ya Southampton.
Iwapo
mechi hiyo italazimika kurudiwa ,Wenger atarudi uwanjani wakati wa
mechi ya ligi ya Uingereza dhidi ya Hull mnamo tarehe 11 mwezi Februari.
Hatahivyo
iwapo mechi hiyo itakamilika siku ya Jumamosi na mshindi kubainika
,mechi dhidi ya Hull City itakuwa mechi yake ya nne na ya mwisho
kuhudumia marufuku hiyo kufuatia mechi dhidi ya Watford na Chelsea.   

COMMENT AND SHARE…………………….!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2kxsiRO

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s