Ommy Dimpoz Afunguka Kuhusu Kupiga Collabo na WCB..:;

Tokeo la picha la omydimpoz                Msanii Ommy Dimpoz ambaye kwa sasa anafanya vyema na wimbo wake
‘Kajiandae’ akiwa na Alikiba amefunguka na kusema hata yeye anaweza
kufanya collabo na msanii yoyote yule kutoka WCB.           
Ommy Dimpoz alisema hayo kupitia kipindi cha eNEWz cha (EATV) na
kusema kwenye muziki kuna wakati unaweza kupata wimbo ambao unahitaji
collaboration na msanii fulani ili uweze kuwa bora zaidi hivyo
inapotokea hivyo ni lazima ufanye mawasiliano na msanii huyo ili ufanye
naye hata kama yupo WCB au sehemu nyingine.

“Siyo tu Nedy hata mimi naweza kufanya kazi na msanii kutoka WCB siyo
tatizo, kwa sababu huu ni muziki pia ni biashara na lazima uangalie
wimbo huu naotaka kufanya nikifanya na msanii fulani kutakuwa na hiyo
combination nzuri? Kwa hiyo haijalishi kikubwa wote tunafanya muziki na
kufanya biashara na kuangalia nikifanya na msanii huyu kazi yangu
itakuwa na impact gani kwa hiyo hivyo vitu vyote vinawezekana” alisema
Ommy Dimpoz

Mbali na hilo Ommy Dimpoz ameweka wazi kuwa kwa mwaka huu ataachia
kazi nne, mbili zikiwa na kazi za kushirikiana na kazi mbili atakuwa
amefanya yeye mwenyewe . 

COMMENT AND SHARE…………………!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2kdSZxM

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s