Diamond Platnumz Kuwakomesha Alikiba na Wema Sepetu Instagram..:;

                       

MREMBO asiyeishiwa matukio kila kukicha Bongo, Wema Isaac Sepetu na
msanii wa Bongo Fleva anayewika kwa wimbo wake Aje, Ali Kiba, mwisho wa
wiki hii wamenagukia pua katika mitandao ya kijamii na Diamond Platnumz
ameendelea kuwaonyesha kuwa yeye ana nguvu kuwazidi wao mtandaoni.
Awali iliripotiwa kuwa Wema amefuta picha zake zote katika mtandao wake
wa Instagram kwa shabaha ya kurudi kwa kishindo na kuwaonyesha watu kuwa
yeye ndiye malkia wa mtandao huo hapa nchini. Jitihada zake ziligonga
mwamba pale aliporejea na kutegemea mapokezi makubwa na haikuwa hivyo.
Daimond aliweka video ya familia yake iliyowaonyesha laivu akiwa na
mkewe na mwanaye Tiffa Dangote.
Video hiyo ilipata watazamaji 20,708 na wachangiaji zaidi ya 600 na
kusababisha watu wengi kuacha kumzingatia Wema na kurudi kwa Diamond. 

Aidha Ali Kiba amekuwa akiendelea kushushiwa matusi na kupewa lawama na
mashabiki zake baada ya kuonekana mahojioano kupitia vituo mbalimbali
vya televisheni akisema kuwa yeye hapo alipofika ni juhudi zake.

Mashabiki zake hawakupendezwa na kauli hiyo na kuitafsiri kama majigambo.     

COMMENT AND SHARE……………………!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2jiTkiY

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s