Je, Unamjua Faru Fausta wa Ngorongoro!, Atimiza Miaka 54, Aishi Chini ya Ulinzi Mkali wa Kijeshi Masaa 24,,:;

                           

FARU FAUSTA WA NGORONGORO ATIMIZA MIAKA 54
Ndio faru mzee duniani,sasa haoni
.Ngorongoro yampa ulinzi wa kijeshi
FARU Fausta ndio anayesadikiwa kuwa na umri mkubwa kuliko Faru wote duniani,mwaka huu amefikisha umri wa miaka 54.
Faru Fausta yupo katika mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro,lakini kutokana
na uzee wake huo,sasa anakabiliwa na tatizo la macho la kutoona.
Kufuatia hatua hiyo,uongozi wa Ngorongoro sasa umemuweka katika makazi maalum ndani ya hifadhi hiyo.
Hatua ya mamlaka kuchukua hatua ya kumpa ulinzi maalum Faru Fausta
inahofia kushambuliwa na wanyama wengine wakali na hususani fisi na
Simba.
Hivi sasa gharama inayotumika kumlinda Faru Fausta ni kubwa,hivyo uongozi wa Mamlaka umeishauri wizara kuchukua
hatua juu ya Faru Fausta     
COMMENT AND SHARE…………………..!!!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2kIhhfQ

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s