Picha: Risi Magufuli Akihutubia Katika Umoja wa Afrika Leo..:;

           Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta pamoja na viongozi wa mataifa mabalimbali
wakiwa katika picha ya pamoja katika jengo jipya la kituo cha  Amani na
Usalama (JULIUS NYERERE) lililopo katika Makao makuu ya Umoja wa Afrika
Addis Ababa nchini Ethiopia.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwahutubia Viongozi Wakuu wa Mataifa mbalimbali hawapo (pichani)
katika Jengo jipya la Kituo cha Amani na Usalama kilichopewa jina Rasmi
la Mwalimu Julius Nyerere, Addis Ababa nchini Ethiopia.
 Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akijadiliana jambo na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya
kutangazwa rasmi kwa Jina la Mwalimu Julius Nyerere katika kituo hicho
cha Amani na Usalama.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akijadiliana jambo na Rais wa Rwanda Paul Kagame wakati wakielekea
katika Kituo cha Amani na Usalama cha Makao Makuu ya Umoja wa Afrika
kilichopewa jina la Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere,
Addis Abba nchini Ethiopia. PICHA NA IKULU

     

COMMENT AND SHARE…………….!!!!!!!!!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2k6bLop

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s