Mangwea Kawatokea Cpwaa na Noorah, Wafunguka Walichoambiwa ..!!!

           

Ikiwa sasa ni miaka minne na miezi kadhaa imepita tangu Rapa Albert
Mangwea kufariki dunia, wasanii Noorah pamoja na Cpwaa kwa pamoja
wamejikuta wakifanya mpango wa kuingia studio na kurudi na nguvu mpya
wakidai kuwa ni maagizo aliyowapa ndotoni.
Hatua hiyo ni baada ya wakali hao kwa muda tofauti kumuota rappa huyo na
kuamini kuwa huenda alikuwa anawakumbusha kuwa wanapaswa kurudi kwenye
muziki na kumuenzi kwa kufanya kazi ya pamoja.
Alianza rapa Noorah kwa kupost picha ya Albert Mangwea na kusema
alimuota na jinsi alivyokuwa wakizungumza ni kama alikuwa hai na kitendo
kilichomfanya Noorah atamani kuona ile ndoto kama ingekuwa ndiyo
uhalisia lakini haikuweza kuwa kwa kuwa ni ndoto tu.
“Nimekuota usiku wa leo (jana) mshkaji wangu. Ilikuwa ‘too realistic’
kama vile bado upo hai. R.I.P ndugu yangu” aliandika Noorah 
Baada ya hapo aliibuka Cpwaa na kudai hata yeye amemuota Albert Mangwea
juzi hivyo ni kama rapa huyo anaongea nao, hivyo Cpwaa alimuomba Noorah
warudi kwenye muziki kwani game ni kama imemiss sana ladha zao, hivyo
Noorah alisema haina tatizo japo kwa muda huu bado anafanya matibabu
kutokana na tatizo lake la kichwa, ila aliahidi kuwa atapita kwa Cpwaa
ili wamalize kesi hiyo. 
“Bro huwezi amini I did as well jana! Daah bro is talking to us. Come
back my brother game ime miss ladha zetu Babastylz jana nime request
sana ngoma za Ngwea kiwanja flani” alisema Cpwaa.       
COMMENT AND SHARE……………………..!!!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2jmQLg4

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s