Mose Iyobo Kaongea Haya kuhusu Kumwita Harmorapa Nyani, Naye Harmorapa Kamjibu pia..:;

Tokeo la picha la Mose Iyobo    
             
Baada ya Mtangazaji wa XXL ya Clouds
FM, B Dozen kupost picha Instagram akiwa na mtafiti wa wanyama aina ya
Sokwe, dancer wa Diamond Platnumz Mose Iyobo alicomment kwenye picha hiyo kuwa mtafiti huyo aje na Dar es salaam kumfanyia utafiti Harmorapa.

Sasa leo January 30 2017 kupitia YOU HEARD ya XXL clouds FM, Soudy Brown ametuletea  inayomhusu Mose Iyobo kumfanisha Harmorapa na Nyani ambapo haya ni majibu ya Harmorapa baada ya hiyo comment.

‘Asante sana Mose kwa kuniita
nyani ila akae atambue anamkufuru Mungu kwa sababu ndio aliyeniumba kwa
hiyo anavyonifananisha na nyani na mimi nafananishwa na Harmonize pia na
Hamornize ni nyani kwa hiyo tuko nyani wawili’
-Hamorapa

Mose Iyobo kwa upande wake ameongea yafuatayo  
’Mimi
sioni cha ajabu, kuna mtu anaitwa Simba na anafurahi, kuna mtu anajiita
Dudu baya na anafurahi leo mtu kumuita mtu nyani yanakuja maneno mengi,
wao wanatukana maneno mangapi na hujasikia nimeenda kusema sehemu’
.      
COMMENT AND SHARE……………………..!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2kk3ZsX

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s