Wimbo wa Chura ya Snura Yawapigawisha Wanaijeria..:;

Tokeo la picha la don jazzy
Wimbo wa msanii Snura ambao ulifungiwa kwa mara ya kwanza na Baraza la
Sanaa la Taifa (BASATA) ‘Chura’ umeonekana kuwakosha baadhi ya raia wa
Nigeria baada ya msanii mkubwa wa Nigeria Don Jazzy kujirekodi video
huku akiimba na kucheza ngoma hiyo          
Baadhi ya mashabiki wa Tanzania pia wamepokea vyema video hiyo na
kutoa sifa nyingi kwa Don Jazzy kwa kitendo cha kuimba ngoma hiyo ya
Singeli pia wametoa pongezi nyingi kwa Snura kwa ngoma yake hiyo.

“Lol TZ did I get it right?  #255 #Chura” alipost Don Jazzy    
           

COMMENT AND SHARE…………………….!!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2jvwjEZ

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s