Kocha wa Liverpool Ajenga Mikakati ya Kuitega Chelsea..:;

Tokeo la picha la kocha wa liverpool
Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema wapinzani wao, Chelsea
wanategemea kupata ushindi ili kujiwekea mazingira mazuri ya kutwaa
ubingwa wa ligi kuu ya soka nchini Uingereza, watakapokutana na timu ya
Liverpool, usiku wa leo uwanja wa Anfield.                              

Klopp,
amesema mchezo na Chelsea, ni nafasi nyingine muhimu, ya kurejesha
matumaini ya kumaliza kwenye nafasi nne za juu, lakini si kuwa mabingwa
wa EPL, kwa sababu Chelsea, hawatapoteza mechi zote.
Endapo Liverpool, itapoteza mchezo wa
leo, dhidi ya Chelsea, hiyo itakuwa ni mara ya nne kupoteza mechi kwenye
uwanja wa nyumbani kwenye msimu huu.
Liverpool ilikuwa timu ya kwanza
kuifunga Chelsea kwenye msimu huu, lakini timu hizo zinakutana tena leo,
kwenye mechi ya mzunguuko wa pili, zikiwa zinatofutiana kwa pointi 10.
Michezo mingine ya leo, ni pamoja, AFC
Bournemouth na  Crystal Palace, wakati Arsenal watawakiribisha Watford,
uwanja wa Emirates.
Burnley itakuwa mwenyeji wa Leicester
City, ambao wapo nafasi ya 15, ilhali Middlesbrough wakiikaribisha West
Bromwich Albion, wakati Sunderland inayoshika mkia itakuwa na kazi ngumu
dhidi ya Tottenham Hotspur, na Swansea City, wataoneshana kazi na
Southampton.

                 

COMMENT AND SHARE……………….!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2kQiWAg

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s