Rais wa Akudo Kutimua Wasanii ‘Ombaomba’..:;

Tokeo la picha la Akudo impakt                Rais wa Band ya Akudo Zagreb Butamu a.k.a Sura ya Mvuto amesema sababu
zinazopelekea  Band nyingi kupotea na kufa ni kutokana na wasanii
hao kuwapiga ‘vizinga’ mapapaa na mashugamami wanaohudhuria matamasha ya
band hizo.    

Akiongea kupitia eNewz ya EATV amesema
anajipanga kurudisha band ya Akudo na kuwaondoa wasanii wote wanaopenda
kuwazoea wateja na kuwapiga vizinga hali inayopelekea mashabiki wengi
kukimbia wakiogopa kuombwa hela na wasanii.

Yaani mtu akiingia ukumbini yeye ni pombe tu, yeye ni kuombaomba watu
hela, hiyo nimeisimamia siitaki tena, wanazoea watu hovyo, watu
wamekuja na bajeti zao halafu wewe unawapunguzia. Nitawashauri weny
mabendi mengine pia sababu watu wengi wanakimbia bendi zetu kwa sababu
ya hilo”, Amesema Zagreb                      Pia Rais wa Akudo amesema atahakikisha anawashauri viongozi wa band
nyingine ili kuweza kuwafanyia kazi wasanii wote wanaopenda kupiga
vizinga ili kuweza kuurudisha muziki wa band katika hadhi yake.       

COMMENT AND SHARE……………….!!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2jzs3E9

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s