Simu Yawa Chanzo cha Ugomvi wa Jux na Vanesa..:;

     
            Msanii wa muziki wa bongo fleva Vanessa Mdee amefunguka na kuweka wazi
kuwa mara nyingi huwa wanagombana na mpenzi wake huyo Jux kutokana na
tabia yake ya kuchelewa kujibu jumbe fupi au hata kupokea simu zake.                                   

Vanessa
Mdee alisema haya kwenye kipindi cha ‘Ngaz kwa Ngaz’ kinachorushwa na
ting’a namba moja kwa vijana EATV na kudai kuwa Jux kwenye suala la simu
amekuwa mvivu sana na ndiyo jambo linaloleta tofauti kati yao.
“Mvivu wa simu amefarakanishwa na simu
yake huyu jamaa, hata kwenye kujibu txt au kupokea simu hana ushirikiano
na simu kabisaa kwa hiyo tunagombanaga mara nyingi kuhusiana na
communication” alisema Vanessa Mdee .     
COMMENT AND SHARE………………………..!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2jyt0Nj

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s