Simu Yaweza Kumuingiza Matatizoni Mchezaji Paul Pogba.:;

          Kiungo wa bei kubwa wa Manchester United, Paul Pogba anaweza kuingia
matatani baada ya kuonekana akiendesha gari huku akitumia simu kitu
ambacho ni kinyume na sheria za uendeshaji gari nchini England.

Pogba ameonekana akiendesha gari lake aina ya ua Audi RS6-R lenye
thamani ya pauni 85,000 alipokuwa akiwasili mazoezini kwenye Uwanja wa
Carrington, Ijumaa iliyopita.

Picha zimemuonyesha akiwa ameishika simu yake hiyo huku akiendesha gari
na kama mamlaka husika za usalama barabarani zitaamua kutumia picha hiyo
zinaweza kumuingiza matatizoni.
       

COMMENT AND SHARE……………………….!!!!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2kKMOyB

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s