Chidi ataja Mahali Ilipo Gari Aliyomnunulia Shamsa Ford..:;

Tokeo la picha la chidi mapenzi              

                Mume wa msanii wa bongo movie Shamsa Ford anayejulikana kwa jina la
Chidi Mapenzi amesema gari alilomuahidi  mke wake  limeshafika
likimiwa limeingilia badari ya  Zanzibar na kichafanyika sasa niki .                                              
Akiongea kupitia eNewz ya EATV, Chidi amesema “lile ni gari ambalo
alijisikia na alilipenda akaamua kumnunulia mke wake, pesa ya kulilipia
anayo lakini kinachoshindikana ni namna ya kulitoa bandarini ingawa hana
wasiwasi kwa kuwa mke wake ni mvumilivu na anaishi maisha ya aina yote.

Hata hivyo Chidi amesema hataki kabisa kusikiliza maneno ya watu kwa
kuwa watu wanaongea mambo mengi ikiwa ni pamoja kusema amamkimbia mke
wake na kwenda China wakati ukweli ni kuwa yeye ni mtu wa kusafiri mara
kwa mara kwa sababu ya biashara zake.             

COMMENT AND SHARE…………………..!!!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2ki1Qfs

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s