Je, Uliikosa Hii., Ng’ombe 150 Watachinjwa siku ya Birthday ya Mugabe…!!!!!

      

Chama kinachotawala nchini Zimbawe Zanu-PF, kimeanza kuchangisha pesa
kwa sherehe za siku ya kuzaliwa ya Rais Robert Mugabe ambaye anahitimiza
miaka 93.
Waandalizi wa sherehe hizo wanasema kuwa wanataka kuchangisha ng’ombe 150 kwa chakula.
Gazeti la serikali la Herald limemnukuu mbunge Never Khanye, akisema
kuwa hakuna mtu atalazimishwa kuchanga lakini wakulima wakubwa katika
maeneo ya matabeleland ambapo shehere zitafanyika, ni lazima watoe
ngombe mmoja kila mmoja, kutoa asante kiongozi huyo wa miaka mingi.S
Wakulima wakubwa ni wale walipata mashamba makubwa kutoka kwa serikali
kufuata hatua ya serikali ya kunyakua mashamba kutoka wa wazungu wakati
wa programu iliyokumbwa na utata nchini Zimbabwe.
Chama cha Zanu-PF kinasema kuwa kinatarajia karibu watu 100,000 kuhudhuria sherehe hizo.
Shere hizo zitafanyika eneo la Matobos nje kidogo ya mji wa Bulawayo.      
COMMENT AND SHARE………………………!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2khybmp

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s