Joh Makini Akataa Kuhusika Kwenye Mashindano ya Muziki..:;

Tokeo la picha la Joh Makini
Rapa Joh Makini ambaye hivi sasa anafanya vyema na ngoma yake ‘Waya’
amefunguka na kusema kuwa wao kama Weusi hawashindani na msanii yoyote
yule ila wao wanafanya muziki katika kutimiza ndoto zao.                                      

Joh Makini alisema hayo kwenye kipindi
cha Friday Night Live cha EATV na kusema wao kama Weusi wanafanya muziki
ili kutangaza nchi, kutimiza ndoto zao katika maisha na si kushindana
na msanii yoyote yule.
“Watu kwanza wanatakiwa
wajue sisi hatushindani na mtu yeyote kwenye muziki huu watu
wasichanganye vitu, sisi tupo hapa kwa ajili ya kutengeneza ndoto zetu,
kuendesha maisha yetu na kuitangaza nchi yetu Tanzania kupitia hiki
ambacho ametubariki” alisema Joh Makini 
Mbali na hilo Joh Makini aliizungumzia
ngoma mpya ya Fid Q ‘Kemosabe’ na kusema ni ngoma kali sana na yeye
amependa jinsi ambavyo Fid Q amebadilika katika flow kwani imekuwa
tofauti na kazi zake nyingi za nyuma.           “Ngoma kali sana nimependa jinsi ambavyo Fid Q amebadilika
katika flow kwani kazi hiyo imekuwa tofauti na kazi zake nyingi
alizofanya kipindi cha nyuma’ alisema Joh Makini                                 
COMMENT AND SHARE…………………………….!!!!!!!!!!!     

via Blogger http://ift.tt/2kQlVtf

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s