Hii Hapa Ndio List Nyingine ya Vigogo wa polisi Waliotajwa na Makonda Kuhusika na Madawa ya Kulevya, Ampiga Biti Tena Kamanda Sirro..:;

            

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewataja Askari 9 wanaotuhumiwa kuhusika na biashara ya dawa za kulevya.
1- Detective Koplo Noel (Kituo chake cha kazi ni Central Police Dar)
2- Dotto (Yuko Kituo cha Kijitonyama)
3- Mwingine anafahamika kama ‘Makomeo’ (Kituo cha Oyster-bay)
4- Glory (Yuko Kituo cha Kawe)
5- Inspector Fadhili (Yuko Kituo cha Kinondoni)
6- Steve (Kinondoni)
7- James (Kinondoni)
8- Ditective Koplo (Wille)
RC Makonda amewataja wanaotuhumiwa kutumiwa dawa za kulevya wakiwemo
TID, Wema Sepetu, Chid Benz, Recho, amewataka kesho wakutane polisi
Kuna maeneo watu wanatuambia madawa ya kulevya wanayapata sehemu hizo,
wamiliki wake kesho niwakute polisi, wasipokuja nitawafuata – RC Makonda
Kama unajua una eneo unafanya biashara za dawa za kulevya DSM natoa siku
7 biashara hii iishe, operesheni hii naiongoza mwenyewe – RC Makonda
Kama Kamishna Sirro na timu yake watashindwa kutokomeza dawa za kulevya
DSM maana yake wamekosa sifa za kuendelea kuwa askari – RC Makonda
Watano tayari nimeshawakamata na wengine nimewakamata wakiwa na dawa za kulevya – RC Makonda.    
COMMENT AND SHARE……………………!!!!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2jEBoj8

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s