Mke wa Rais wa Zamani wa Nchini Brazil Afariki Dunia..;

Marisa Leticia (kulia) alimsaidia mumewe Lula kuanzisha chama cha wafanyakazi          

Rais wa Brazil Michel Temer pamoja
na na viongozi wengine wa serikali wamesafiri mpaka mji wa Sao Paulo
kutoa salamu za rambirambi kwa Rais wa zamani wa nchi hiyo Luiz Inacio
Lula da Silva kufuatia kifo cha mke wake aliyekuwa akiugua maradhi ya
kansa ya ubongo.

Lula ni miongoni mwa marais waliokubalika sana
Brazil lakini kashfa ya rushwa kwenye kampuni kubwa ya mafuta ya
Petrobras ilimchafua.
Viongozi kadhaa wa nchi za Amerika ya Kusini wametuma salamu zao za rambirambi.
Lula na Marisa Leticia walioana miaka 43 iliyopita.           

COMENT AND SHARE……………………!!!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2kocukF

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s