Mfanyabiashara Jack Pemba Afanya Birthday ya Kufuru…:;

          

Mfanyabiashara maarufu nchini aliyehamishia makazi yake nchini Uganda,
Pedeshee Jack Pemba, jana alifanya birthday ya kufuru nchini Uganda,
huku mwanamuziki mahiri kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,
Koffi Olomide akiwa ndiye mgeni rasmi.
Vipande vya video zilizosambaa mtandaoni, vinamuonesha Koffi akipafomu
live wimbo wa Ekotite (Selfie) akiwa na bendi yake, ambapo Jack Pemba
anamtunuku noti kibao za dola miamia, na kushangiliwa na ukumbi mzima.                                                         Kabla ya kufanyika kwa birthday hiyo, awali video ya Koffi aliyojirekodi
akiizungumzia birthday hiyo na kuahidi kwamba atakuwepo nchini Uganda,
ilikuwa gumzo kubwa mitandaoni na tukio la jana limewaacha wengi midomo
wazi kwani si rahisi kwa msanii kama Koffi, kukubali kwenda kupafomu
kwenye birthday na hata akikubali, dau lake huwa si la mchezo.        
 
 
 
 
 
 
 
COMMENT AND SHARE……………………..!!!!!!!!!!!!          

via Blogger http://ift.tt/2l9tGd3

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s