Young Killer aAkiri Kuhamasishwa Kimziki na Dogo Janjaro..:;

Tokeo la picha la young killer            Rapa Young Killer amefunguka na kuweka wazi kuwa ni kweli alikuwa
‘Inspired’ kuingia kwenye muziki na msanii Dogo Janja kwani yeye alikuwa
anaamini ili msanii aweze kufanikiwa na kutoba kwenye muziki ni lazima
awe na umri fulani.                                                            

Young
Killer alisema hayo jana baada ya kukutanishwa live yeye pamoja na Dogo
Janja kwenye kipindi cha Friday Night Live (FNL) ndipo alipokiri kuwa
baada ya kuona Dogo Janja ametoboa na kuwa mkubwa ndiyo yeye akaongeza
nguvu za mitikasi mpka na yeye akatoka kimuziki.

“Mimi napendaga kusema ukweli kipindi nahangaika na mishe zangu
nilikuwa naamini ili utoboe kwenye muziki ni lazima uwe na umri fulani,
sawa Young D alikuwepo na alipata nafasi tukawa tunamuona kwenye
matangazo ya show na nini lakini nilikuwa sijaamini kama katoboa, au
anaweza kufanya kama tunavyofanya sasa lakini Janjaro alipokuja kutoka
ndiyo nikaamini kabisa kumbe unaweza kutoboa ukiwa na hali yoyote muda
huo huo na mimi nikaanza kujipanga nikapata mashavu kwa hiyo alikuwa
Inspiration kwangu” alisema Young Killer
          

COMMENT AND SHARE………………………..!!!!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2l8DCEx

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s