Muuzaji Maarufu wa Madawa ya Kulevya Akamatwa Mexico..:;

Wanajeshi hupambana na walanguzi wa mihadarati Mexico              
Majeshi ya Mexico, yamemtia mbaroni kinara mmoja mkuu wa genge la
Beltrán Leyva, la ulanguzi wa dawa za kulevya katika jimbo la Nuevo
Leon, kaskazini mwa nchi hiyo.
Eleazar Palomo Castillo, maarufu
kwa jina El Cochi au The Pig, anatajwa kuwa kama kiongozi mkuu wa
mihadarati katika mji wa San Pedro Garza García, na naibu kamanda wa
genge hilo katika jimbo hilo, linalo pakana na Marekani.                              
  Taarifa kutoka kwa jeshi la Mexico zilisema kuwa alikamatwa baada ya
gari lake kukataa kusimama kwenye kizuizi cha ukaguzi karibu na uwanja
wa ndege wa Monterrey.    

COMMENT AND SHARE…………………….!!!!!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2kuOUCR

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s