G-Nako Ataja Mambo Anayoyaangalia Kabla Hajashirikishwa Kwenye Kolabo na Msanii Yoyote..:;

        Rapper G-Nako ametaja kitu anachokiangalia kwa msanii ambaye anataka kufanya naye kolabo.                   
Hitmaker huyo wa OG, amedai kuwa vitu vikubwa anavyoviangalia kwanza
ubora wa kazi anayotaka kushirikishwa na malengo ya msanii mwenyewe
kwenye kazi hiyo.

“Kabla ya kufanya kolabo na msanii yeyote kwanza kitu nachozingatia
sana kwanza kazi iwe nzuri halafu lazima nijue hiyo kazi tunafanya
katika malengo gani. Ninajua unaweza ukafanya kazi na mtu. Watu wengine
wanakuwa wazembe kufanya vitu kama promosheni, videos. Unaweza ukafanya
kolabo nzuri lakini pia inaweza isifanye vizuri kwa kuwa yeye mwenyewe
anakuwa hajajipanga,” amekiambia kipindi cha Dj Show cha Radio One.

Rapper huyo ni miongoni mwa wasanii wa Bongo ambao wameshirikishwa kwenye kazi nyingi.  

COMMENT AND SHARE………………….!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2lfG6Qr

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s