Idadi Rasmi ya Watuhumiwa wa Dawa za Kulevya Nchini Imetajwa leo..:;

        Dar es salaam ni dawa za kulevya ambapo leo February 6 2017 Kamishna wa
Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro  amezungumza na
Waandishi wa habari na kutoa takwimu ya kilichofanyika ndani ya siku 3.

“Tunaendelea vizuri na Oparesheni yatu ya kupambana na dawa za kulevya,
tumekamata jumla ya Watuhumiwa 112 na jumla kete 299 zidhaniwazo kuwa ni
dawa za kulevya, kwa kawaida tutazipeleka kwa mkemia mkuu wa Serikali
na atatuambia ni aina gani”

“Katika Watuhumiwa hao 112, 12 tumewapeleka leo Mahakamani sababu sheria
ya mwenendo wa mashtaka iko wazi, huwa inaturuhusu kuomba kuwaombea
Watuhumiwa kwa kiapo kwa Hakimu, wawe chini ya uangaliazi wa Jeshi la
polisi na Mahakama kwa muda wa miaka miwili wasifanye makosa tena‘

“Wote tuliowakamata wengine wanakiri na wamekwenda kuonyesha hizo dawa
za kulevya, kusudio la kwanza ni wawe chini ya uangalizi wetu na kusudio
la pili la kiapo chetu ni waache hiyo tabia wawe raia wema, kusudio la
tatu wawe wanakuja kuripoti kituo cha polisi angalau mara mbili kwa
mwezi…. lengo letu ni kuona je wameacha kutumia dawa za kulevya?” –
Kamishna Simon Sirro.        

COMMENT AND SHARE……………..!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2lg9APf

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s