Baada ya Iyobo Kumuita Nyani Hamorapa,Sasa Dada Yake Dimaond Aibuka na Kumchana Hamorapa kwa Staili Hii..!!!

               

MWANAMUZIKI anayefanya vizuri kwenye tasnia ya Muziki wa Bongo Fleva
akiwa chini ya Lebo ya WCB,  ‘Queen Darleen’  hivi karibuni ameonyesha
kushangazwa na kitendo cha mwanamuziki chipukizi Hamorapa kujifananisha
na Hermonize.
Akipiga stori na Uwazi Showbiz, hivi karibuni na kutakiwa kuzungumzia
kauli aliyoitoa Dancer Mose Iyobo ambaye yupo kwenye Lebo ya WCB kuwa
Hamorapa anafanana na sokwe alisema hamjui msanii huyo kivile na
anamshangaa kujifananisha na Harmonize.
“Hata kama nilishamuona sijamtilia maanani, simjui kabisa na sidhani
kama anafanana na Harmonize, lakini  pia siwezi kuzungumzia lolote juu
ya kauli ya Iyobo,” alisema Queen Darleen    
COMMENT AND SHARE……………………..!!!!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2kK1xgh

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s