Washukiwa 13 Mahakamani kwa Tuhuma za Biashara ya Mihadarati..:;

Washukiwa 13 mahakamani kwa tuhuma za biashara ya mihadarati Tanzania                

Washukiwa 13 wakiwemo wasanii
mashuhuri wamefikishwa mahakamani mjini Dar es Salaam Tanzania, baada
ya ombi maalamu la polisi kutaka wawekwe chini ya uangalizi kwa
kipindi cha mwaka mmoja.

Watuhumiwa hao wameamriwa na mahakama
wawe chini ya uangalizi wa polisi kwa mwaka mmoja ambapo pia wametakiwa
kujidhamini kwa bondi ya shilingi milioni 10 za Tanzania sawa na dola
4000.                                                  Washukiwa 13 mahakamani kwa tuhuma za biashara ya mihadarati Tanzania          
Polisi nchini Tanzania wamekuwa wakiwashikilia watu zaidi ya 10
wakiwemo wasanii maarufu na polisi waliotajwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es
Salaam kuhusika na biasHhara ya dawa za kulevya.
Miongoni mwa wale
waliohojiwa, alikuwemo msaanii maarufu na miss Tanzania wa mwaka 2006,
Wema Sepetu, aliyeitikia wito wa polisi pamoja wasanii wenzake kufika
kwa mahojiano.     

COMMENT AND SHARE………………………………..!!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2koukFZ

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s