VIDEO: Nikki Mbishi Arusha Dongo kwa Nikki wa Pili, Msikilize Hapa..:;

  Tokeo la picha la Nikki Mbishi                                                               Msanii wa Hip Hop Nikki Mbishi amemchana Nikki wa Pili na kumuambia
kwamba aache kujiita msemaji wa wasanii kwa kuwa yeye ni msemaji wa
kikundi kidogo cha wasanii wachache.                      Akiongea kupitia eNewz Nikki amesema Nikki wa Pili hapaswi kujiita
msemaji wa wasanii kwa kuwa sanaa ya muziki ipo huru na kila mmoja
anaposema ni msemaji wa wasanii siyo sahihi kwa kuwa hajui mambo ambayo
wasanii wengine wanayawaza vichwani lakini pia hajachaguliwa na mtu kuwa
msemaji wa wasanii.                                

via Blogger http://ift.tt/2k7NJN1

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s