Wema Sepetu Asomewa Mashtaka, Aachiwa kwa Dhamana..:;

Tokeo la picha la wema afikishwa mahakamani                  Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu na wenzake wawili wamefikishwa
katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu asubuhi ya leo na kusomewa
mashitaka matatu yanayohsiana na matumizi ya dawa za kulevya aina ya
bangi.                                                                                                          

Akisomewa mashtaka na wakili wa serikali
Nassoro Katuga mbele ya Hakimu Mkazi Thomas Simba imeelezwa kuwa msanii
huyo alikutwa na kiwango kidogo cha dawa za kulevya aina ya bangi kiasi
cha gramu 1.08.
Akisoma Shtaka hilo linalowakabili
watuhumiwa wote watatu, mbele ya Hakimu Huruma Shaidi wa Mahakama hiyo,
Wakili wa Serikali Mtalemwa Kisenyi ameiambia mahakama hiyo kuwa siku ya
tarehe 4 mwezi wa pili mwaka 2017 katika eneo la Kunduchi Ununio Jijini
Dar es Salaam watuhumiwa hao watatu akiwemo Wema Sepetu walitenda kosa
hilo kinyume na kifungu cha sheria ya kuzuia na kupambana na dawa ya
kulevya kifungu cha 17 (1) (a) cha makosa hayo.
Washtakiwa wote wamekana shitaka hilo,
kisha kuachiwa kwa dhamana ya shilingi Milioni 5 na kuwa na wadhamini
wawili kila mmoja huku uchunguzi ukiendelea ambapo kesi hiyo
itasikilizwa tena tarehe 22 mwezi wa pili mwaka 2017.
Kesi hiyo iko chini ya Hakimu Huruma Shaidi, na mwendesha mashitaka Mtalemwa Kishenyi        
COMMENT AND SHARE……………………………….!!!!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2kMEVco

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s