Hospitali Moja ya Nchini CHINA Yakiri Kuwaambukiza Watu Watano UKIMWI Kimakosa..:;

          
Hospitali moja nchini CHINA imekiri kuwa watu watano waliambukizwa
virusi vinavyosababisha Ukimwi katika  hospitali hiyo kimakosa.

Maafisa wa afya katika mkoa wa HANGZHOU wamesema watu huo walipata
maambukizi hayo baada ya mhudumu wa afya kutumia tena bomba la sindano
lililotumika kumtibu mgonjwa wa ukimwi kuwatibu  wagonjwa wengine badala
ya kulitupa.

Maafisa hao wamesema kitendo kilichofanywa na mhudumu hiyo ni
ukiukwaji wa utaratibu wa kiafyana kuongeza kuwa tayari wahudumu wa afya
watano wamefukuzwa kazi katika hospitali hiyo.

Wamesema walioambukizwa watakuwa wakipatiwa matibabu na kwamba watalipwa fidia.      

COMMENT AND SHARE…………………………!!!!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2kARetO

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s