Liverpool Kukutana na Tottenham Kesho – Epl..:;

Liverpool         
Ligi kuu ya soka ya England inatarajia kuendelea wikendi hii , hapo
kesho jumamosi Arsenal watakuwa nyumbani wakiwakaribisha Hull City ,
Manchester United wao ni wenyeji wa Watford, Middlesbra wanawaalika
Everton, Stoke City ni wenyeji wa Crystal Palace , Sunderland
wanawakaribisha Southampton , West Ham United wanawakaribisha West
Bromwich Albion, na Liverpool ni wenyeji wa Tottenham .
Jumapili
Burnley watawakaribisha Chelsea , Swansea City ni wenyeji wa
Leicester City na jumatatu Bournimouth watawaalika Manchester
City.      

COMMENT AND SHARE………………………….!!!!!!!!!!!

COMMENT AND SHARE

via Blogger http://ift.tt/2lx8oX0

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s