Mahusiano ya Big Jahman na Saraha Sasa Yawa Hadharani..;;

         Pamekuwa na minong’ono na ishara kuwa msanii wa bongo fleva mwenye asili
ya Sweden mwanadada Saraha sasa anatoka kimapenzi na Big Jahman ambaye
pia ni msanii wa bongo fleva, baada ya kuachana na producer Fundi
Samweli                                                                    

Big amekanusha na kusema kuwa Saraha ni
zaidi ya familia kwake na wanasapotiana zaidi kwa upande wa muziki
lakini hawana mahusiano yeyote ya kimapenzi na kwamba anaheshimu sana
familia yake hivyo hawezi kuwa na mahusiano na Saraha
Hata hivyo Big amesema watu wanajiongeza
kuwa yeye na Saraha wanamahusiano kwa kuwa ni mwanamke na yeye ni
mwanaume lakini wanasapotiana tu kimuziki na si vinginevyo.         
COMMENT AND SHARE……………………………..!!!!!!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2kc3iTW

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s