Messi Afanya Kufuru., Aamua Kununua Nyumba ya Jirani Yake Baada ya Kukerwa na Kelele..:;

                  

Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi (29) amenunua nyumba ya jirani
yake katika eneo la Castelldefels, mjini Barcelona anapoishi kwa sababu
walikuwa wakimsumbua kwa kelele.
Taarifa hizo zimeelezwa na mchezaji mwenzake wa Barca, Ivan Rakitic
aliyesema kuwa Messi amekuwa akikerwa na kelele za jirani yake huyo
hivyo kuamua kuinunua nyumba hiyo ili jirani aondoke na kuamuachia yeye
na familia yake.     
COMMENT AND SHARE………………………..!!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2kbK80o

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s