Mwanamuziki MADONNA Aamua Kuongeza Idadi ya Watoto Aliyowaasili..:;

           
Mwanamuziki maarufu duniani kwa miondoko ya POP MADONNA ameogeza
idadi ya watoto wa kuwasili baada ya kuchukua mapacha wawili wa kike
kutoka nchini MALAWI nakufikisha idadi ya watoto wanne.

MADONA amefikia uamuzi huo ikiwa ni moja ya mikakati yake ya
kuwaasili baadhi ya watoto kutoka kusini mwa jangwa la Sahara kwa nia ya
kuonyesha upendo na thamani ya watoto na kuwaendeleza ili waweze
kufikia malengo yao ya kimaisha.

Mwanamama huyo wa Marekani ambaye ni muanzilishi wa taasisi ya
kusaidia watoto ya Raising Malawi iliyoanzishwa mwaka 2006, aliwaasili
watoto DAVID BANDA mwaka 2006 na MERCY JAMES mwaka 2009.

Aidha baada ya kuwaasili watoto hao MADONNA amesema watabakia na majina yao ya asili ili wasijesahau utamaduni wao wa asili.     

COMMENT AND SHARE……………………………..!!!!!!!!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2l1KEgI

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s