Na Haya Ndio Majibu.., Diamond Platnumz Afunguka Juu ya Mwanaume Aliyekuwa Anamsumbua Zari,Anasema Alimfanya Hivi Ili Kumkomesha..!!!

             

Pamoja na kumweka ndani na kumzalisha watoto wawili, Tiffah na Nillan,
Diamond bado anakumbana na upinzani toka kwa wanaume vichwa nguvu
wanaoendelea kujaribu bahati zao ili kumnasa Zari.
Akiongea kwenye kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM Alhamis hii, Diamond
alisema baada ya kuona mtu huyo amezidi, alimwambia Zari amchinjie
baharini na kudai kuwa hakuwa na uzito wa kumfanya ‘apige simu Kigoma.’
“Kulikuwa na nyendo za mtu mmoja nilishasikia nikasema sasa mambo ya
kusumbuana kupiga simu Kigoma tena ya nini. Zari akamblokia zake mbali,”
alisema.
“Mwanzo kulikuwa na watu wanaojifanya wao wako karibu sana, kujifanya
wao ndio wanamwelekeza ‘Diamond anafanya hivi na hivi.’ Yaani unajua
kuna watu wengine wana mambo ya ushamba wanahisi wakikumaliza
wanatengeneza nafasi zao. Lakini nikakaa nikasema, kwa suala hili dogo
tena mtu mmoja tuanze kupiga simu Kigoma haitakuwa vizuri,” aliongeza.
Hata hivyo Zari na Diamond wamesema wamekubaliana kutoshika simu zao
kwakuwa husababisha malumbano makubwa kutokana na wao kuwa watu maarufu.     
COMMENT AND SHARE……………………!!!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2kQBSA3

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s