Na Sasa Wizara ya Nishati na Madini Yaanza Kuhamia Mkoani DODOMA..:;

         
Baadhi ya Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati na Madini leo wameondoka
rasmi Jijini DSM kuelekea mkoani DODOMA ikiwa ni hatua ya utekelezaji wa
agizo la Rais JOHN MAGUFULI  la kutaka wizara zote kuhamia  mkoani
humo.

Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo JULIANA PALLANGYO amesema kuwa hii ni awamu ya kwanza ya utekelezaji wa agizo hilo.

PALLANGYO pia amewapongeza wafanyakazi wote waliokubali kuhamia
mkoani DODOMA bila malalamiko na kuahidi kuwa shughuli zote za kikazi
zitaendelea kama kawaida.

Hatua ya wizara mbalimbali kuhamishia ofisi zake mkoani  DODOMA
inafuatia agizo lililotolewa mwaka 2016 na Rais JOHN MAGUFULI la
kuzitaka  Wizara zote kuhamia mkoani humo mpaka ifikapo februari 28
mwaka huu.   

COMMENT AND SHARE………………………..!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2kXvZn8

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s