Sadio Mane Mshambuliaji wa Liverpool Asababisha Mjombake Kuvamiwa Senegal..:;

Sadio Mane          

Mjomba wake mshambuliaji wa
Liverpool Sadio Mane, anasema kuwa anahofia usalama wa familia yake
baada ya mpwa wake kukosa penalty na kusababisha Senegal kutimuliwa
kutoka mechi ya robo fainali wakati wa mashindano ya Afcon.

Sana
Toure alisema kuwa gari ambalo alikuwa amenunuliwa na mpwa wake Mane,
ambaye ndiye mchezaji ghali zaidi barani Afrika, liliharibiwa na nyumba
yake kulengwa.                                
“Siku baada la Lions kuondolewa, baadhi ya watu walio na nia mbaya
wakataka kuvamia nyumba yangu iliyo Malika. Nawashukuru majirani na
wenyeji, kitu kibaya kilizuiwa,” Sana Toure alivyambia vyombo vya
habari.
Sadio Mane anaonekana kusahau yaliyomsibu Afcom na kufunga mara mbili Liverpool ilipokutana na Tottebnham wikendi hii.      

COMMENT AND SHARE……………………………!!!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2lHHlIq

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s