Manchester United na AS Roma Zashinda Europa Ligi..:;

Ulaya                       

Mashetani wekundu wa Manchester
United wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Saint-Etienne, mabao
yote ya United yamefungwa na Zlatan Ibrahimovic.

As Roma wakicheza
ugenini wameshinda kwa mabao 4-0 dhidi ya Villarrea, Tottenham
Hotspurn wamepoteza mchezo ugenini kwa kuchapwa kwa bao 1-0 na Kaa Gent.
AZ
Alkmaar wamelala nyumbani kwa kufunga 4-1 na Lyon, wajerumani wa
Borussia Moenchengladbach nao wamepoteza kwa Fiorentina kwa kufungwa
bao 1-0.                      
Athletic Bilbao wameshinda nyumbani kwa 3 – 2 dhidi ya Apoel
Nicosia, Celta Vigo wamechapwa na Shakhtar Donetsk kwa bao 1-0.
Anderlecht wameshinda 2 – 0 dhidi ya Zenit St. Petersburg.
Paok Thessaloniki wameshindwa kutamba nyumbani kwa kufunga na Schalke kwa 3-0,

Matokeo mengine

  • Astra Giurgiu 2 – 2 Genk
  • Rostov 4 – 0 Sparta Prague
  • Ludogorets Razgrad 1 – 2 FC Koebenhavn
  • Olympiacos 0 – 0 Osmanlispor FK
  • Hapoel Beer Sheva 1 – 3 Besiktas
  • Legia Warszawa 0 – 0 Ajax        

COMMENT AND SHARE………………..!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2lpi7SP

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s