Shamba la Mirungi Lateketezwa kwa Moto Huko KARAGWE..:;

           
Ekari Tatu za shamba la mirungi zimeteketezwa kwa moto Wilayani
KARAGWE Mkoani KAGERA huku mmiliki wa shamba hilo pamoja na mtu mwingine
ambaye anadaiwa kuficha kete za bangi pamoja na miche ya mirungi katika
duka moja la nguo wote wakifunguliwa mashtaka.

Kufuatoa tukio hilo Mkuu wa Wilaya ya KARAGWE, GODFREY MHELUKA ametoa
wito kwa wakazi wa wilaya hiyo wenye taarifa kuhusu watu wanaojihusisha
na biashara pamoja na matumizi ya dawa za kulevya kuendelea kutoa
taarifa.     

COMMENT AND SHARE…………………………..!!!!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2m1i7VG

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s