Manchester United Leo Kumkosa Rooney Dhidi ya Chelsea..:;

Manchester United hawatakuwa na mshambuliaji namba moja dhidi ya Chelsea      
    

Nahodha wa Manchester United Wayne
Rooney ameondolewa katika kikosi kitakachomenyana na Chelsea katika
hatua ya robo fainali kombe la FA itakayopigwa leo hii.

Rooney
aligongana na mlinzi Phil Jones wakati wa mazoezi na kupata majeraha
katika mguu wake, huku Zlatan Ibrahimovic akianza kutumikia adhabu yake
ya kukosa michezo mitatu baada ya kumpiga kiwiko mlinzi wa Bournemouth
Tyrone Mings.
Washambuliaji Anthony Martial na Marcus Rashford nao pia watakosa mchezo huo kwa kuwa ni wagonjwa.    
Zlatan Ibrahimovic (kulia) nae pia atakosa mchezo huo               
Meneja wa Chelsea Antonio Conte anasema wachezaji wa kikosi chake wote ni wazima.
Manchester united hawatakuwa na mshambuliaji wa kikosi cha kwanza leo.   

COMMENT AND SHARE………………………………..!!!!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2lTyCrp

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s