Vanessa Mdee Apata Baraka Kutoka kwa Mchungaji Gwajima.:;

           #FreeVanessaMdee haijaishia kutrend kwenye midomo ya mashabiki na
wasanii pamoja na kwenye mitandao ya kijamii peke yake, weekend hii.

Vee Money ameonekana kuwa special katika mastaa wote waliohusishwa na
skendo ya madawa ya kulevya baada ya umma kuonesha kumtetea kwa nguvu
zote. Muimbaji huyo pia amepata baraka toka kwa Mchungaji Gwajima ambaye
tangu naye ahusishwe na biashara hiyo amekuwa akifurumisha series za
mabomu dhidi ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

Akizungumza mbele ya waumini wa kanisa lake, Gwajima alisema:

Sasa hapo ndio najiuliza, polisi na uhamiaji waseme kwanini
wanasuasua na kuna makosa niliyoyataja angalau saba ya jinai wakati
wengine wamelala ndani kwa kuhisiwa tu wakiwemo wanamuziki kwa mfano
Vanessa Mdee, amelala ndani tu alikuwa nje wakati sisi ametajwa naye
ametajwa amerudi ndani leo siku ya tatu Vanessa Mdee leo yuko ndani kwa
kuhisiwa tu, lakini huyu mpaka tumetaja Daudi Bashite yupo katorokaje?
Huyu kakimbiaje? Vanessa Mdee simfahamu wala simjui lakini alikuwa ana
performing zake nje ya nchi kashikwa pale yuko ndani leo, huyu
katorokaje? Kwanini wengine wako ndani na wengine wanazunguka mitaa ya
South Africa wakati walitakiwa wawe hapa na wao, mbona mimi nilienda
kulala tu?    

COMMENT AND SHARE……………………………!!!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2nwP7Wu

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s