Harmorapa Aamua Kumganda Mzungu wa Kampuni ya Swala Escape One..:;

         MSANII wa Bongo Fleva anayetrendi katika mitandao ya kijamii Bongo,
Athuman Omary ‘Hamorapa’, jana jumamosi katika viwanja vya Escape One
Kinondoni Jijini Dar es Salaam, alionekana kumganda mzungu wa kampuni ya
kinywaji cha Swala baada ya kusambaa kwa taarifa za kupewa dili nono na
kampuni inayozalisha kinywaji cha Swala.

Kupitia mtandao wake wa kijamii wa Hamorapa, imeweka Ujumbe akijinadi
kwa mashabiki wake kuwa yupo na mzungu wake bosi wa kijanywaji hicho.

Aidha kwa sasa mashabiki wanamshauri Hamorapa kufanya kazi nzuri za sanaa na kuachana na kiki zisizo na kichwa wala miguu.    

COMMENT AND SHARE………………………………!!!!!!!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2otk4PG

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s