TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTEUZI WA WAOMBAJI WA UDAHILI WA KOZI ZA ASTASHAHADA (CHETI) NA STASHAHADA (DIPLOMA) KWA AWAMU YA MACHI/APRILI KUWA, 2017 KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017

         

TAARIFA KWA UMMA
UTEUZI WA WAOMBAJI WA UDAHILI WA KOZI ZA ASTASHAHADA (CHETI) NA STASHAHADA (DIPLOMA)

KWA AWAMU YA MACHI/APRILI, 2017 KWA MWAKA WA MASOMO 2016/2017

Baraza la
Taifa la Elimu ya Ufundi liliratibu zoezi la udahili kwa waombaji wa
kozi za Astashahada (Cheti) na Stashahada (Diploma) kuanzia tarehe 23 Februari, 2017. Zoezi la maombi ya udahili lilifungwa rasmi tarehe 06 Machi 2017 ili kuruhusu uteuzi wa kwa waombaji wa kozi hizo.

Baraza
linapenda kuwaarifu waombaji wa kozi za Astashahada na Stashahada; na
umma kwa ujumla kuwa, matokeo kwa waliochaguliwa kujiunga na vyuo
mbalimbali yametangazwa tangu tarehe 25 Machi 2017 kupitia Mfumo wa Udahili wa Pamoja (CAS) uliotumika
kufanya maombi ya udahili. Waombaji wanashauriwa kutembelea kurasa zao
(profiles) za kuombea udahili kupitia CAS ili kuona kama wamechaguliwa.

Ili kutembelea ukurasa wako, waweza pia kubofya hapa.


Imetolewa na
Ofisi ya Katibu Mtendaji
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi
Tarehe: 26 Machi, 2017     
COMMENT AND SHARE………………………..!!!!!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2otG25D

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s