Bilionea wa Urusi Ataka Kuinunua Klabu ya Arsenal..:;

Bilionea wa Urusi Alisher Usmanov            

Bilionea wa Urusi aliyezaliwa nchini
Uzbekistan Alisher Usmanov amewasilisha ombi la pauni bilion moja
kuinunua Arsenal kutoka kwa mmiliki wake Stan Kroenke.

Huku Kroenke akiwa hana hamu, ombi hilo limekataliwa ijapokuwa Usmanov hajapata uthibitisho woote kupitia maandishi.
Gazeti
la The Financial Times limeripoti kamba Usmanov aliwasilisha ombi hilo
mwezi uliopita na kwamba Kroenke hajatoa tamko ramsi kuhusu ombi hilo.
Mfanyibiashara huyo wa vyuma anamiliki asilimia 30 ya hisa za Arsenal.
Hatahivyo hayuko katika bodi ya kufanya maamuzi ya klabu hiyo.
Usmanov alisema mnamo mwezi Aprili kwamba Kroenke anafaa kulaumiwa zaidi kwa kushindwa kufanya vizuri kwa klabu hiyo.
Arsenal inatengemea vilabu vyengine ili kuweza kufuzu katika kombe la vilabu bingwa Ulaya kwa mara ya kwanza baada ya miaka 21.
Arsene
Wenger ambaye amekuwa kocha wa klabu hiyo tangu 1996 amekuwa akizomwa
na baadhi ya mashabiki wa klabu hiyo kutokana na msusruru wa matokeo
mabaya.   

COMENT AND SHARE…………………….!!!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2rEIwMJ

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s