Huu Ndio Utapeli wa “Prophet Bushiri” Ambaye Anamtishia Lowassa Kuwa Atakufa

       Nilisikiliza Madai ya Askofu Gwajima Dhidi ya Tapeli mmoja aitwaye
Prophet Bushiri. Jinsi ambavyo anatumiwa Kutabiri ati Lowassa atakufa.
Wasichojua watu wengi Ni kuwa Wengi wa wanaoitwa Watumishi wa Mungu, Kiasi kikubwa ni Mbwa mwitu Matapeli wa Kutisha.

Nitaweka Mambo Kadhaa ya Kitapeli anayofanya Bushiri. Mojawapo ni
Kujifanya alitabiri kuhusu Tetemeko, hawa wanachofanya ni Kungojea Tukio
kubwa linatokea, halafu wanatengeneza Video inayoweka sauti yake juu ya
Video nyingine ya zamani kabla ya Tukio na Wanasuparimpose maneno mapya
(lipsing) juu ya hiyo video ya zamani ili isikike kana kwamba alikuwa
akitabiri Tukio hilo, ilihali katika video ya awali, alikuwa akiongelea
mengine kabisa!

Mengine ni Kutengeneza Mazingaumbwe ya Michezo ya Kitoto mfano kama huu.
Bushiri akijifanya anashusha moto toka mbinguni Kuchoma hirizi. Ukweli
ni kuwa ameweka kemikali yenye kutoa moto na akaongezea kiberiti juu
yake ili kikipata joto la kemikali kilipoke moto!

Angalia kwa makini.

Na hii Video nyingine anachukua Video ya Zamani ambayo watu walikuwa
wakiomba, anaiedit na kusema wanaona Malaika halafu ukisikiliza jibu
analopewa ni la mtu wa studio maana halaiki ya watu wale haikuwa naye
wakati akiongeza hiyo sauti mpya na ukungu wa malaika.

Sasa Ukiona Mtu anaweza Kudanganya Maelfu ya Watu Kiasi hiki, Hata kuua
mtu hatasita! Nimemsikia Katika Video Fulani akisema alimwombea
Mchungaji mmoja afe, na akafa sasa, ni wazi Tapeli wa Aina hii anaweza
hata kumtumia mtu Majambazi ili wamuue kisha ajidai Utabiri wake
umetimia  

COMMENT AND SHARE…………………..!!!!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2pYp68p

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s