Mwanamke Akata Uume wa Kiongozi wa Dini Huko India..:;

Siku ya Ijumaa usiku alichukua kisu na kumshambulia wakati alijaribu kumbaka na kisha kuwaita polisi mwenyewe.            

Mwanamke mmoja wa umri wa miaka 23
nchini India amekata uume ya wa kiongozi mmoja wa dini kwenye jimbo
lililo kusini mwa nchi la Kerala, akidai kuwa alimbaka kwa miaka kadha.

Polisi
wanasema kuwa kiongozi huyo wa dini kwa jina Gangeshananda
Theerthapada, alikuwa akienda kwenye nyumba ya mwanamke huyo kufanya
maombi kwa ajili ya afya ya babake.
Hii ni baada ya mamayake kuwa na matumaini kuwa mtu huyo ya Mungu angetatua matatiza ya familia yake.  

Badala yake binti yake alidai kuwa alimdhulumu kingono kila mara.
Siku ya Ijumaa usiku alichukua kisu na kumshambulia wakati alijaribu kumbaka na kisha kuwaita polisi mwenyewe. 

Mwanamke akata uume wa kiongozi wa dini India      

Mtuhumiwa huyo wa ubakaji kisha akakimbizwa hospitalini kwa matibabu ya dharura.
Hospitali hiyo ilisema mwanamume huyo wa miaka 54 kutoka Kollam alilazwa kwenye hospitali hiyo .
Uume wake ulikuwa umekatwa kwa asilimia 90 na hakuna uwezekano kuwa ungerudishwa tena..
Madaktari walijaribu kuzuia kufuja kwa damu na kumfanyia upasuaji ili aweze kupitisha mkojo.

COMMENT AND SHARE…………………………!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2qHk8fh

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s