RC Paul Makonda ” Ruge Inabidi Aombe Msamaha Kwa Kuwatapeli Watanzania Kuwa Nilivamia Clouds TV”..:;

               Baadhi ya Maneno Aliyokaririwa akisema Paul Makonda katika mahojiano yake na Star TV Leo…

‘Ruge Anapaswa awaombe msamaha Watanzania kwa kuwatapeli kuwa Nilivamia Kituo chake’

‘Tukio linaloitwa uvamizi kwangu ni igizo la Uvamizi’

‘Clouds nilikuwaga naeda kula ugali na Maharage’

‘Gwajima anajiita Askofu lakini sio Askofu kamili’

‘Nimeuona uongo wa Ruge hadharani, Nimeouna utapeli wa Ruge Hadharani’

‘Ruge ana akili ya kutunga nyimbo za mapenzi na Ng’onjera sio maendeleo ya Dar as salaam’

COMMENT AND SHARE………………………………!!!!!!!!!!!

via Blogger http://ift.tt/2rsHyWs

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s