Author: vivax62

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTOAJI WA VYETI VYA WAHITIMU WA ASTASHAHADA NA STASHAHADA KATIKA PROGRAMU ZA AFYA, MIFUGO NA UALIMU KWA MWAKA WA MASOMO 2015/2016 SASA;

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo kilichoanzishwa kwa Sheria ya Bunge, Sura 129, ili kusimamia na kuratibu utoaji wa elimu na mafunzo ya ufundi nchini. NACTE ina wajibu wa kutunuku vyeti kwa wahitimu wenye sifa stahiki kwa mafunzo ya programu za Afya, Mifugo na Ualimu yanayozingatia umahiri. Tarehe 14 Julai 2017 … Continue reading TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UTOAJI WA VYETI VYA WAHITIMU WA ASTASHAHADA NA STASHAHADA KATIKA PROGRAMU ZA AFYA, MIFUGO NA UALIMU KWA MWAKA WA MASOMO 2015/2016 SASA;

Huu Ndio Utajiri Mkubwa Utakaoupata, Kama Utaamua Mwenyewe Kufanya Biashara Hii..:;

         MAKALA HII IMEANDIKWA NA MESHACK MAGANGA WA IRINGA TANZANIA. Kwa muda mrefu nimekuwa nikitoa hamasa kwa vijana wenzangu wa kike na kiume na watu wa kada mbalimbali, wito wangu umekuwa nikuwataka vijana wenzangu kauanza utamaduni wa kuwekeza kwa muda mrefu na kujifunza ujasiriamali. Ninaandika makala hii kutoa ushuhuda wa niliyoyafanya kwa … Continue reading Huu Ndio Utajiri Mkubwa Utakaoupata, Kama Utaamua Mwenyewe Kufanya Biashara Hii..:;

HESLB Yavuka Lengo, yakusanya Kiasi cha Shilingi Bilioni 116.:;

         Zoezi la utafutaji, ufuatiliaji na ukaguzi wa wadaiwa sugu na ambao wamenufaika na mikopo ya elimu ya juu mahala pa kazi iliyoendeshwa na Bodi ya Mikopo ya Mikopo ya Elimu ya Juu katika kipindi cha mwaka mmoja, limefanikiwa kwa asilimia 46 na kupelekea makusanyo ya mikopo hiyo kuvuka lengo lililokusudiwa. Akiongea … Continue reading HESLB Yavuka Lengo, yakusanya Kiasi cha Shilingi Bilioni 116.:;

Mayweather na McGregor nusura wazichape kavukavu .:;

        Rais wa UFC, Dana White (katikati) akijaribu kuwatenganisha Floyd Mayweather (kushoto) na Conor McGregor wasipigane 'kavu kavu' usiku wa jana ukumbi wa LA's Staples Center mjini Los Angeles, Marekani     MPIGANAJI Conor McGregor ametamba kummaliza katika raundi ya nne bingwa wa dunia wa ngumi za kulipwa ambaye hajawahi kupoteza pambano, Floyd … Continue reading Mayweather na McGregor nusura wazichape kavukavu .:;